Nakubaliana na neno lako Bwana – Lyrics

Nakubaliana na neno lako, Bwana.Nitasimama Kwa neno lako, Bwana. Nakubaliana na neno lako, Bwana.Nitasimama Kwa neno lako, Bwana… X2 Ni Neno lako tu halibadiliki.Ni Neno lako tu la kutumaini.Umeliinua juu ya jina lako, Neno.Halikurudi bure, Neno la kinywa chako Bwana.Acha nilishikilie, nilitumaini, nikikungonja Bwana.Acha nilishikilie, nilitumaini nikikungonja.Kila ulilosema ni kweli, ata likikawia ni kweli, kila […]

Nakubaliana na neno lako Bwana – Lyrics Read More »