Bwana akubariki na akulinde -The Blessing (Kisii )

Bwana akubariki na akulinde
Akuangazie uso Wake, na kukufadhili
Akuinulie uso Wake
Na kukupa amani


Amina, Amina, Amina! (Amen)
Amina, Amina, Amina! (Amen)


Neema yake iwe kwako
Na hadi vizazi elfu
Familia, na watoto wako
Na wao, na wao

Uwepo Wake uende mbele yako
Nyuma yako, kando yako
Ikuzingire, iwe ndani yako
Yuko nawe, Yuko nawe

Asubuhi na jioni
Ukujapo, uendapo
Kwa majonzi na furaha
Yuku nawe, Yuko nawe

Akujali
Akulinda
Akuona
Akuwaza
Akupenda
Akuponya
Yuko nawe,
yuko nawe

Leave a Comment Cancel Reply

error: Download our App and copy the Lyrics ! Thanks
Exit mobile version